mkuu watoto wa mjini wanasema utasubiri sana ha ha ha!!ndo kwanza hata buku hazijafika!Hahahha bado ngapi mkuu??
mkuu watoto wa mjini wanasema utasuri sana ha ha ha!!ndo kwanza hata buku hazijafika!
Naendelea vyema sana!!!!!!!!
Akili yako nyembamba wewe, unawaza chupi asubuhi
Vyote sawa
Ila vinamaana tofauti mkuu
nafurahi kusikia hivyoooooo
Ila vinamaana tofauti mkuu
samaki
chupi
Mkuu, kwa komenti hii naamini umepons!! Pole kwa kuugua
chuppi ni vazi la watoto...wakubwa hatuvai
samaki ndo anavuliwa
Nawe hauvai? Shauri ako itafika magotini...safiii......
Niliacha kitambo sana.....miaka kumi iliyopita!Nyie si mnataka za ivyo?Nawe hauvai? Shauri ako itafika magotini...