Wakuu habari,
Nilileta uzi hapa kuomba ushauri wa nini nifanye pindi nitakaporeje tz.Nashukuru mlinishauri shauri mbalimbali.
Ila katka shauri zote nimeona nichukue hizi mbili kati ya Bajaji au Uber halafu niendeshe mwenyewe
So ni biashara ipi itanifaa ili niweze kumudu maisha ya hapo tz?
Natanguliza shukran.