Sina uwezo wa kuifikia papuchi mkuu kwani nakuwa nimeshamwaga tayari!duh mbona ilo tatizo kubwa
kwani haujawahi kufanya mapenzi nn
1-3 ndiyo upungufu wa nguvu za kiume.Hivi kipi kati ya haya ni uupungufu wa nguvuu za kiume
1. Kuwahi kumwaga
2.kutodinda
3.kutokuwa uwezo wa kurudia tendo
4.kutokuwa na uwezo wa kutungisha. mimba.
Wana jf naombeni mnisaidie hapo which is which
Kutodinda sio upungufu wa nguvu za kiume bali ni ukosefu kabisa wa nguvu za kiume ambao ni UHANITHI.