Kipi kati ya haya ni upungufu wa nguvu za kiume?

Hivi kipi kati ya haya ni uupungufu wa nguvuu za kiume
1. Kuwahi kumwaga
2.kutodinda
3.kutokuwa uwezo wa kurudia tendo
4.kutokuwa na uwezo wa kutungisha. mimba.
Wana jf naombeni mnisaidie hapo which is which
Kutodinda
 
Hakuna hata moja kati ya hayo
maana kutokuwa na nguvu za kiume
ni kukosa uwezo wa kumzalisha mke wako
watoto wa kiume.
 
Naomba kuuliza hivi "KUWAHI KUMWAGA" dawa yake ni nini????
 
Tafuta dawa za mizizi, kula vizur fanya mazoezi ugonjwa utaisha
 
Hahahaaa. Vyote hivyo ni kama vile pipa na mfuniko yaani ukikosa kimoja wapo ni majanga tayari.
Akikosa kimojawapo itakuwa ni majanga haaaa, kwahyo anatakiwa awe na kimojawapo au nimeelewa vibaya
 
1 mpaka 3 ni upungufu wa nguvu za kiume, 4 ni ugumba
Namba 2 na 3 zinaweza kuhusishwa na upungufu wa nguvu za kiume lk no 1 kuwahi au premature ejaculation sio upungufu wa nguvu za kiume na tiba yake ni tofauti no 4 ni Male infertility ambayo pia nguvu zinaweza zikawepo uka ejaculate kawaida ukafanya round nyingi utakavyo ila ndio husababishi mimba!
Lkn pia kutodindisha au kutosimamisha pia unaleta tatizo no 4 ugumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…