athumanishapu
Member
- Oct 25, 2017
- 71
- 51
FactNi kile ambacho unakiweza kwa nafasi yako, ndio maana wapo ambao wanavifanya vyote hivyo tena kwa ufanisi. Na pia wapo ambao wanafanya kimoja wapo kwa mazoea ndio maana tunaendelea kulalamika kila siku
Tusiige maisha.
Hapo ni Biashara ila nayo ujue namna ya kuifanya la sivyo ni utakuta unapotea zaidi ya kutokaHabarini wana JF,
Naomba kuuliza kati ya hivi vitu vitatu, kipi kina nafasi kibwa ya kukutoa kimaisha?
(1) KUAJIRIWA
(2) KILIMO
(3) BIASHARA