Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Habari za wakati huu wajuzi wa mambo. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, nimefika stage hiyo na ningependa kufanya kitu sahihi ili kuepuka makosa ambayo ningeweza kuyaepuka endapo ningeomba ushauri kwa watu wenyekujua kipi kifanyike.
Nimeshamalizana na skimming, je naweza paka rangi kuta za nje ndio niweke PVC windows au niweke kwanza PCV windows ndio nipake rangi? Msaada please
Nimeshamalizana na skimming, je naweza paka rangi kuta za nje ndio niweke PVC windows au niweke kwanza PCV windows ndio nipake rangi? Msaada please