King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,145
- 4,293
Asante mkuu,na baada ya kufanya hivyo tatizo lilisha kabisa???Pole sana kiongozi.
Angalia ni kwa namna gani msingi wako unaingiza maji,maana tulikuja gundua kuwa maji yakizidi katika eneo,huanza kupanda juu ya nyumba na kusababisha hali hiyo.
Hatua tulizo chukua ni kuweke hata,pia kuzungusha peeving kuzunguka nyumba au kumwaga zege kuzunguka nyumba,lengo likiwa ni kuzuia maji kutokupanda juu.
Baada ya kuona hali hiyo ilibidi tupige cigar kuzuia ukuta kuoza zaidi.
Wote wanakaribishwa kwa hoja tofauti.Mbona huu uzi siuelewi kwamba wateja na watoa huduma au??
Shukrani mkuu,asante kwa ushauri wako notalfanyia kazi hilo.Nenda pale ofisi za Coral Temeke, waeleze shida yako hiyo watakupa dawa ya ku apply kwenye ukuta
Bahati mbaya kiwanja changu pia mvua zikinyesha ni kama vile maskani ya maji kuja kupoa.Mimi mwenyewe mkazi wa ilazo sina hilo nimepandisha msingi ni mrefu sana
Shukrani chief[emoji106]Waona hawa jamaa..wanatibu hilo tatizo na hutoona tena likijirudia
NORPAD GS CO.
+255 753 318 131
Hapa kwenye karo siwezi kuelekeza kwenye karo la maji taka??Umejenga kwenye ardhi yenye chumvi. Chimba mtaro urefu wa mita moja na nusu kuzunguka nyumba. Jenga mtaro wa upana wa nusu mita kuzunguka nyumba huku upande wa ndani ukiacha matobo ili yanyonye maji yasipande kwenye nyumba. Maji yanayokuwa drained yaelekeze kwenye karo maalum kwa maji ya chumvi.
Ndani bafuni pamoja na chooni nmepiga tiles pako safi kabisa shida hapo nje,pako kama jinsi panavyoonekana.Hali hii ya Chumvi kula ukuta, hujitokeza sana kwenye kuta za Bafu au vyoo vya ndani.
Suluhisho: Weka tiles kwenye kuta zote za Bafu na choo cha ndani.
Likijaa utapata gharama ya kunyonya. Ukiwa na karo spesho, likijaa unaweza funga pampu ya umeme ukayatumia kumwagilia bustani au ukayamwaga bara barani.Hapa kwenye karo siwezi kuelekeza kwenye karo la maji taka??
Ni kweli lakini sikujua na dili na mazingira gani.Hili tatizo ilitakiwa ulidhibiti kipindi unajenga
Asante kwa ushauri wako chanya.Likijaa utapata gharama ya kunyonya. Ukiwa na karo spesho, likijaa unaweza funga pampu ya umeme ukayatumia kumwagilia bustani au ukayamwaga bara barani.
Problem ilikuwa solved mkuu???!Pole sana kiongozi.
Angalia ni kwa namna gani msingi wako unaingiza maji,maana tulikuja gundua kuwa maji yakizidi katika eneo,huanza kupanda juu ya nyumba na kusababisha hali hiyo.
Hatua tulizo chukua ni kuweke hata,pia kuzungusha peeving kuzunguka nyumba au kumwaga zege kuzunguka nyumba,lengo likiwa ni kuzuia maji kutokupanda juu.
Baada ya kuona hali hiyo ilibidi tupige cigar kuzuia ukuta kuoza zaidi.