Kipi kilichoklufurahisha kwa mkeo/hawara/gfriend 2011??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kuna vitu ambavyo ukifanyiwa unaweza ikachukua mwaka mwingine kusahau
yapo mazingira tofauti ila naomba wenye mahusiano ya jinsia tofauti tafadhali na si jinsia moja
hivi ni kipi kimekufurahisha ama kukushangaza kwa mkeo/hawara yako/gfriend wako na wengine
tukajaribu hiyo formula kwa wenzetu kama itawork out tuendelee kutoka kimapenzi??
Kwako mwana jf
heri ya mwaka mpya
wako mtiifu

kim didy ii
 
The way umefafanua hapo kana kwamba ni mwanaume mwenye mke/hawara/galfriend ndo aje adadafue hapa.....lol


Happy new year to you too Pdidy...
 
Kilicho nifurahisha ni hii thread.


Happy new year to you too.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…