Joshua Mbezi
Member
- Oct 18, 2024
- 66
- 97
Ndugu wanajamvi,
Katika harakat za kutafuta mtu wa kuanza naye maisha kuna yule uliyemchumbia au aliyekuchumbia kwa mara ya kwanza.
Je, kipi kilikufanya usimuoe /kuolewa naye?