Joshua Mbezi Member Joined Oct 18, 2024 Posts 66 Reaction score 97 Feb 4, 2025 #1 Ndugu wanajamvi, Katika harakat za kutafuta mtu wa kuanza naye maisha kuna yule uliyemchumbia au aliyekuchumbia kwa mara ya kwanza. Je, kipi kilikufanya usimuoe /kuolewa naye?
Ndugu wanajamvi, Katika harakat za kutafuta mtu wa kuanza naye maisha kuna yule uliyemchumbia au aliyekuchumbia kwa mara ya kwanza. Je, kipi kilikufanya usimuoe /kuolewa naye?