usijaribu pale halmashauri fulani Kuna afande sipesho
1---akijiridhisha anawafata wazazi wako anawapa taarifa wakuonye
2-- akijiridhisha walikuonya na umeendelea na wizi au ukibaka taarifa itakayofata utakutwa mochwari haijarishi kakukuta maeneo gani
**** Kwakweli wananchi maeneo Yale wanajivunia Sana milango acha wazi hukuti sisimizi kaingia katawanya namba zake safisana mudawowote mpigie mwambie tatizo lako utahidumiwa
Wananchi wanakushukuru afande namna unavokimbiza mwizi kimya kimya