Kipi kinafaa katika kuongezea ground clearence ya gari kati ya njia tajwa hapa chini?

Thelionden

Senior Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
165
Reaction score
160
1. Kufunga Spencer

2. Kubadirishia coil spring na shock ups zenye height kubwa kidogo kuliko zile za awali?

Wajuzi wa mambo njooni mtupe ABC kati ya njia hizi ni ipi inaweza isi athiri stability ya gari pamoja na vitu vingine kwenye gari?
 
Kununua tairi zenye mark kubwa je?
 
Ntarudi kwa madesa na vizenga vizuri for future reference. 🙏🙏🙏
 
Hatari kuna wadau wanachonga Spencer za aluminium sijui madhara yake yapoje wataalamu?
 
Badilisha size ya rim na ununue tairi kubwa Kwa njia hii itasaidia gari yako kuinuka pia ukiweka na spacer ya inch moja inatosha kabisaa
 
Unataka ground clearance ya inch ngap? Maana hata hayo ma vx hYazid mm160
 
Options zote siyo sahihi, gari itakuwa out of design specs na hutakuwa na uhuru wa kukimbia kwenye barabara zenye kona kwasababu balance ya gari inahama,
 
Badilisha size ya rim na ununue tairi kubwa Kwa njia hii itasaidia gari yako kuinuka pia ukiweka na spacer ya inch moja inatosha kabisaa
Spacer ndio wajuzi wanasema inafanya gari kupoteza balance.
 
Unataka ground clearance ya inch ngap? Maana hata hayo ma vx hYazid mm160
Kuna gari ziko chini sana kikubwa ni kuweza kuepusha uharibifu wa sehemu zingine kama bampa unapopita njia mbaya.
 
Weka spaceser ni nafuu na haina usumbufu. Hayo ma shock up utaingia gharama tu zisizo na ulazima.
 
1. Kufunga Spencer

2. Kubadirishia coil spring na shock ups zenye height kubwa kidogo kuliko zile za awali?

Wajuzi wa mambo njooni mtupe ABC kati ya njia hizi ni ipi inaweza isi athiri stability ya gari pamoja na vitu vingine kwenye gari?
Vyote viwil lakin sishaur san kama gar lako halibeb mizigo mda mwingi n kama hua unaendesha speed ya juuu. Kukuyupa nikugusa tu maan vyote vnapunguza stability ya gar kweny high speed.
 
1. Kufunga Spencer

2. Kubadirishia coil spring na shock ups zenye height kubwa kidogo kuliko zile za awali?

Wajuzi wa mambo njooni mtupe ABC kati ya njia hizi ni ipi inaweza isi athiri stability ya gari pamoja na vitu vingine kwenye gari?
Nunua tuu SUV
 
Back
Top Bottom