Thelionden
Senior Member
- Apr 7, 2018
- 165
- 160
Hii nayo sijui inaufanisi upiKununua tairi zenye mark kubwa je?
Thanks mkuu kwa mchango1. Cheap but sio Safe.
2. Expensive but safe (atleast)
Spacer ndio wajuzi wanasema inafanya gari kupoteza balance.Badilisha size ya rim na ununue tairi kubwa Kwa njia hii itasaidia gari yako kuinuka pia ukiweka na spacer ya inch moja inatosha kabisaa
Kuna gari ziko chini sana kikubwa ni kuweza kuepusha uharibifu wa sehemu zingine kama bampa unapopita njia mbaya.Unataka ground clearance ya inch ngap? Maana hata hayo ma vx hYazid mm160
Vyote viwil lakin sishaur san kama gar lako halibeb mizigo mda mwingi n kama hua unaendesha speed ya juuu. Kukuyupa nikugusa tu maan vyote vnapunguza stability ya gar kweny high speed.1. Kufunga Spencer
2. Kubadirishia coil spring na shock ups zenye height kubwa kidogo kuliko zile za awali?
Wajuzi wa mambo njooni mtupe ABC kati ya njia hizi ni ipi inaweza isi athiri stability ya gari pamoja na vitu vingine kwenye gari?
Nunua tuu SUV1. Kufunga Spencer