ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Hatuna elimu ya kifo. Maana kifo ni kifo tuHata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye karibu dakika tano inashindindikana.Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakuvuta?
Evil spirit come out in Jesus nameAnakuwa ni rafiki wa iziraili huwa tunaogopa iziraili asije kumtumiq marahemu kutuomba.request ya urafiki
Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana.Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?
Ziraili ana request urafiki na ndugu wa marehemu tu
Ni yale yale ya mavi ya chakula kitamu ulichokula jana, hayapendwi.Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana.Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?
Kwann unaaga Maiti? Unaaga kitu kisichokuwa na uhai?Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana.Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?
Mimi ya mamaangu nilishika ikiwe kwenye jena as the last touch to my beatiful mumy then nikaibusu kwa uchungu kwenye paji la uso..... wala sikuogopaHata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana.
Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?
Sio kwangu Mkuu.
Nilimuuliza mtu mmoja aliefiwa na baba ake, Je baba ake akimtokea leo atamkimbilia au atakimbia aogope?
Akasema atakimbia sana hatogeuka nyuma..
Binafsi Nimeondokewa na mzazi wangu, nasemaga na natamani sana yale ya kwenye movie yanitokeee yani nimuone mzazi wangu kantokea Aseee Acha iwe iwavyo nikimshika simwachiii tutaenda wote atapotaka twende.
Siwezi mkimbia mzazi wangu kwa namna nampenda namuwaza, eti anitokee nikimbie ,sijawahi kuwaza.
Nashangaa wanao waogopa watu wao waliowapenda najiuliza ni upendo gani wanao uongelea.