Mimi siogopiHata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana.
Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?
Ndivyo ilivyo mkuu,maiti usiyoijua inaogopesha,lakini Sio ya mtu wako WA karibu!Mimi ya mamaangu nilishika ikiwe kwenye jena as the last touch to my beatiful mumy then nikaibusu kwa uchungu kwenye paji la uso..... wala sikuogopa
Utaogopa akiwa hakuhusu anaekuhusu wengi hushika kama ishira ya bye bye....
Wenzako eti wanasema watakimbia...Kama vile upo Kwa bongo yangu nataman anitokee nizungumze naye nipate faraja kuondoka kwakwe nimekua mpweke zaid ya yatima
Woga wa kumgusa,utabaki kwenu,ndo maana katika uislamu kuna elimu kuanzia mtu anapokufa,hadi kumzika.ukipata hayo mafunzo tena mengine ya kivitendo,kamwe hautakua mwoga,bali kuna mawaidha unapata.Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana.
Ni hisia gani hizo za hofu zinakushika mpaka unamuonea sijui ndo aibu au unaogopa atakung'ang'ania?
Nini kinakupa ujasiri?Mimi siogopi
Kwann unaaga Maiti? Unaaga kitu kisichokuwa na uhai?
Lengo la Kuaga Maiti huwa ninini? Kwamba unajali sana, atakuona, au ni umagharibi tu?
Uko km mie, sijawahi ogopa maiti ya mpendwa wangu. Naweza kaa nae hapo hata week nzima, km ikiruhusiwa.Sijawah ogopa mait ya mtu ambaye alikua mpendwa wangu maana hata kuukombatia ingekua wanaruhusu ningefanya ivo