Kipi kinafanywa /kuongelewa katika usuluhishi wa migogoro ya kimataifa?

Kipi kinafanywa /kuongelewa katika usuluhishi wa migogoro ya kimataifa?

The MaskmaN

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
350
Reaction score
764
Habari zenu wana JF

Moja kwa moja ningependa niende kwenye mada au swali husika.
Kulingana na kichwa au swali langu hapo juu kwa wenye ufahamu nalo please ningependa kufahamu maana nimekuwa nikijiuliza sana suala hili na kushindwa kupata majibu yaliyo sahihi kichwani mwangu.

mfano unaweza kuta Umoja wa Mataifa unamteua mtu fulani wakiamini anaweza kwenda na kusuluhisha na mgogoro ukafikia makubaliano au ukatatuliwa kabisa.

Asanteni,nimewasilisha.
 
Ukiona hivyo jua hao walikuwa wanataniana tu hawakuwa seriously kuna mataifa ni vigumu kuyapatanisha mfano urusi vs uingereza


Alafu kuna mgogoro uchwara kati ya Pakistan na India hawa huwa wanatwangana then wanajisuruhisha wenyewe
 
Back
Top Bottom