ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Asante tuendele kufikiri pamoja na kuleta michango positive zaidi pamoja tunaijenga jf yetu kisima cha maarifaThread zako nazikubali hua unazungumza vitu common kwny mazingira ya kibongo.
Una uhakika mkuu ukiwa na Nia kabisa ya kuyapata utakosa. Katika Masoko yote ya mijini?ya kienyeji kwa bongo kupata ni ngumu sana mkuu
Napinga Kwa sababu sitegemei ukiamua Kuyapata mayai tuseme 30 masokoni hukosiUpatikanaji Changamoto.
Usimpongeze yeye ndege JOHN ipongeze K-vant.akigida iyo anatema madini sana.Thread zako nazikubali hua unazungumza vitu common kwny mazingira ya kibongo.
Ukikwepa kula mayai ya kisasa kukwepa madhara yake, unakutana na madhara kama hayo hayo ya mayai kwenye energy drinks na karanga za mayai ya kisasa 🐒🐒Kwa wale watumiaji wa mayai Kwa lengo la kupata protein wameshasikia mengi kuhusu tetesi za madhara ya mayai ya kisasa na hata Wataalamu wa Lishe wanakiri ya kuku wa kienyeji ni bora zaidi.
Lakini nyumba nyingi na maduka mengi utakuta tray za mayai ya kisasa ni mengi zaidi na biashara yake inatoka means yanatumika kote kwenye biashara ya chips na majumbani.
Sasa ningependa nijue machache. Je, ni upatikanaji wa mrahisi wa ya kisasa. Ni kweli eneo lako au masokoni utakosa ya kienyeji?
Au ni bei rahisi kwamba la kisasa 400 ila la kienyeji 500 ndo inakupelekea uchukue la kisasa.
Au umeshawishika na ukubwa wa yai la kisasa.
🤣🤣🤣usimpongeze yeye ndege JOHN ipongeze K-vant.akigida iyo anatema madini sana.
pongezi nyingi kwa K-vant😁
Uzalishaji wa mayai ya kisasa ni rahisi kuriko kienyeji pia hata sokoni mayao ya kisasa nimengi kuliko kienyeji wengi wanatumia kisasaKwa wale watumiaji wa mayai Kwa lengo la kupata protein wameshasikia mengi kuhusu tetesi za madhara ya mayai ya kisasa na hata Wataalamu wa Lishe wanakiri ya kuku wa kienyeji ni bora zaidi.