NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Nina jeans zangu zilikuwa zinapauka na kuchuja nikizifua nyumbani kwa sabuni za mche za jamaa na sabuni za unga hizi tunazonunua maduka ya mangi.
Sasa nimeanza kuzipeleka kwa dry cleaner wa mtaani buku (1,000) kwa jeans moja. Hii kwa sasa nimeweka kwenye bajet kabisa, yani jeans zangu zina ubora ule ule tu!
Jeans ninazonunua ni hizi za kawaida za dukani zikiwemo za vunja bei.