Bora wewe unafuta baada ya kupost lakini Vers.Nakijua kichwa changu kinavyotapika pumba..Kila nikichangia kitu after 24hrs lazima nirudi kufuta comments zangu. Landa uwe uzi nilioanzisha mm.
Kuna wakati nasoma comments zangu hadi najionea aibu.. (hata hii comment itafutwa)
Una karoho kepesi sana. Unaogopa kusemwa vibaya?Yeah.. nikipost kitu nikiona wanakisema vibaya hata kama ni uzi wangu nafuta..
Come-on, unless umekisoma ukona hata wewe ni kibaya. Ila kama kwako kinaonekana kipo sawa hamna kufuta.Sipendi mtu anifikirie vibaya..
Japo ni ngumu wote kunielewa
Daah !2. Kama nikikutana na mtu kama @Zurri huwa najisemea " hivi kweli nipo tayari kuitumia siku yangu nzima kubishana na mtu/watu na mwisho wa siku siwezi kubadili mawazo yao? It's not really important. Kisha nafuta.
Sahihi ni "Kubadilisha" sio "kubadirisha".Nina mengi ya kubadirisha katika system ya maisha yangu
Kuna muda unakuta mada unaamua kuchangia. Unaanza kuandika kisha unaona ni mizenguo tuu unaamua kufuta ulichoandika kabla haujapost.
Ni sababu ipi inapelekea unaifuta comment yako badala ya kuipost?
Ila hampaswi kutumia 'r' kwenye 'l' au kinyume chake, huku tunakuita ni kuyafanyia "dhulma matamko". Kiswahili hakina mwenyewe bali Kiswahili kina watu wake,aukama walivyosema wenyewe.Jamii niliyopo tunatumia r tu.. hatuna L
Safi sana, ni hatua nzuri.Nina mengi ya kubadirisha katika system ya maisha yangu
Duuh, ngoja nikupe udhuru mzee. Maana naona umetuandikia "akirini".ndugu ata mm siyaelewi hayo..sikupita shule sana kujifunza kanuni za uwaandishi..nivumilie.
naandika lililokuja akirini tu
Nili-kukumbuka tuu Zurri. Usichukulie siriaziDaah !
Nili-kukumbuka tuu Zurri. Usichukulie siriazi
Usimfanye Da'vinci akafuta comments zake.Ila hampaswi kutumia 'r' kwenye 'l' au kinyume chake, huku tunakuita ni kuyafanyia "dhulma matamko". Kiswahili hakina mwenyewe bali Kiswahili kina watu wake,aukama walivyosema wenyewe.
Tuko pamoja.Simu yangu pia ni kijwazo mkuu
Usimfanye Da'vinci akafuta comments zake.
Kwanini msiende kuchat pm,Mimi nilikuwa nae kule international forum. Anaichukia USA hatari[emoji23][emoji23].
Wakana Mungu ni watu wa jamii gani?