KIPI KINATIA AIBU

KIPI KINATIA AIBU

Msomi hewa

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
768
Reaction score
1,066
.......1- Kukutwa unajaribisha viatu vya Mgeni
2- Mgeni kukutwa anaongeza maji ya Ugali
 
Hapana, mi naona bora Mgeni kucheka hadi kuj*mb* wakati wa kula..
 
ungesema kipi kinatia aibu zaidi maana vyote vinatia aibu....

ila bora uongeze maji uonekane una njaa kuliko kuonekana mwizi
 
Back
Top Bottom