MTAZAMO JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 19,675 Reaction score 33,583 Oct 19, 2016 #121 Azarel said: Clouds ni nini kwanza tuanzie hapo? Click to expand... Mawingu braza ...
jameschanda Member Joined Jan 22, 2015 Posts 28 Reaction score 8 Oct 19, 2016 #123 Huuu no km mwaka 10 nipo naooo Fnl
Nahonyo JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 5,550 Reaction score 5,379 Oct 19, 2016 #124 makilo said: wakipumzika Ijumaa hii ijayo watamuongelea watamuongelea ijayo.kipind chao kinaboa sana kwa kuwa waongo waongo Click to expand... Kumbe mfuatiaji mzuri wa kipindi hiki, ingawa hukipindi.
makilo said: wakipumzika Ijumaa hii ijayo watamuongelea watamuongelea ijayo.kipind chao kinaboa sana kwa kuwa waongo waongo Click to expand... Kumbe mfuatiaji mzuri wa kipindi hiki, ingawa hukipindi.
R ranjan JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 338 Reaction score 288 Oct 19, 2016 #125 Noma noma baadae
makilo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 2,620 Reaction score 5,260 Oct 20, 2016 #126 Nahonyo said: Kumbe mfuatiaji mzuri wa kipindi hiki, ingawa hukipindi. Click to expand... wife huwa anafatilia ndio maana najua kila wk wanaongelea nini
Nahonyo said: Kumbe mfuatiaji mzuri wa kipindi hiki, ingawa hukipindi. Click to expand... wife huwa anafatilia ndio maana najua kila wk wanaongelea nini
M mtoto wa mjini JF-Expert Member Joined Jan 18, 2010 Posts 1,754 Reaction score 898 Oct 21, 2016 #127 MTAZAMO said: Clouds na maujanja yao yote lakini kwa EATV wanatiaga huruma. EATV kibongo bongo wanakimbiza mbaya. Click to expand... Wanakimbiza ushuani, Clouds wana kiki sana uswazi
MTAZAMO said: Clouds na maujanja yao yote lakini kwa EATV wanatiaga huruma. EATV kibongo bongo wanakimbiza mbaya. Click to expand... Wanakimbiza ushuani, Clouds wana kiki sana uswazi