Kipi kitatokea ikiwa mwanamke atatumia dawa za kuongeza nguvu za kiume..?

Mara paap unauliza nini kitatokea endapo mwanaume atatumia progesterone
 
Sina hata nilichoelewa shunie mm sasa unatumiaje dawa ya nguvu za kiume wewe mwanamke
samahan sana ila naona hujaelewa nd mana nkasema mapema kwamba "kila mtu anajua hz dawa ni kwa ajil y wanaume lkn em tuchukilie n mwanamk nd akatumia"
haya mamy umeelewa ?
 
Nitarudi mkuu
samahan sana ila naona hujaelewa nd mana nkasema mapema kwamba "kila mtu anajua hz dawa ni kwa ajil y wanaume lkn em tuchukilie n mwanamk nd akatumia"
haya mamy umeelewa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…