Kipi kitatokea ikiwa mwanamke atatumia dawa za kuongeza nguvu za kiume..?

Hili swali ni sawa na ujiulize, hivi mwanaume akimeza vidonge vya kike vya kuzuia mimba itakuwaje?

Ataweza kumpa mwanamke mimba?
 
Ee bhana eeee,.bibie alichachamaa kama John Cena eee[emoji23][emoji23][emoji23]
Yan hata sio kipindi hichi..hilo tukio lilitokea 1992 nikiwa kijiji flan hapa tanzania..

Dawa za kipindi hicho zilikua hatari mnoo,yan hata ukinusa tu ile miziz basi ngomaa lazima iende mnara,madada

wakajichanganya wakaijaribu...bwana wee
 
Dadekkii ulifaidijeeee[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…