Kipi kiwe kipaumbele kwenye elimu kati ya majengo na maslahi bora kwa walimu?

Kipi kiwe kipaumbele kwenye elimu kati ya majengo na maslahi bora kwa walimu?

Papa D

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
753
Reaction score
182
WB wamesitisha mkopo kwa Tanzania. Lakini baadaye nimemsikiliza ZZK anasema mkopo huo ulilenga kujenga mashule ikiwemo kukarabati shule zilizopo.

Lakini tathmini ya mazingira ya walimu kuanzia nyumba, mishahara na mafunzo ya kujiendeleza vyote vipo ovyo kabisa!!

Swali ni:
Je, tuendelee kupaka rangi madarasa wakati mwalimu hana amani ya roho anapofundisha?

Tulijadili hili, great thinkers!
 
Back
Top Bottom