Kipi ni bora kati ya ku-jailbreak ps4 au kuto-jailbreak

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
830
Reaction score
1,449
Wakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo.

Naomba mnipe faida na hasara ya jailbreak faida ninayoifaham mimi ni jailbreak magemu unapata bei kitonga.
 
Wakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo
Naomba mnipe faida na hasara ya jailbreak faida ninayoifaham mimi ni jailbreak magemu unapata bei kitonga
Kimya wajuvi
 
Wakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo.

Naomba mnipe faida na hasara ya jailbreak faida ninayoifaham mimi ni jailbreak magemu unapata bei kitonga.
Kuna technique ya ku jailbreak ps4 ?
 
Wakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo.

Naomba mnipe faida na hasara ya jailbreak faida ninayoifaham mimi ni jailbreak magemu unapata bei kitonga.
Hio ni software issue tu, hata ps4 ikiwa na jailbreak unaweza kurudi version ya kawaida uki flash official firmware, mimi binafsi ninge jailbreak unapata uhuru mkubwa hata kama huweki games za bure.
 
Wakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo.

Naomba mnipe faida na hasara ya jailbreak faida ninayoifaham mimi ni jailbreak magemu unapata bei kitonga.
Mm ninavyojua Uki jail break unaua Function ya Online streaming na Online Gaming, Maana Ps4 unaweza hata Ku switch ukaangalia Netflix na Other online Stuff. Unaweka Unofficial firmware ambayo imekua twerked kidogo ili kuiba Data Kwa Urahisi.

Tofauti na Hapo faida yake ni kupata Offline Games Kwa Njia Rahisi na Bei Chee, Game za flash unapata Hadi Kwa 10K au Pungufu maana Kwa ku download Kwa maisha ya Kibongo ni uongo Game Moja inaweza kuwa na GB 50 au zaidi kidogo.
 
Kipnd mm mdogo na sijui vzur games niliaminishwa na watu kwamba chipped console ndo za kutumia... Ni kwel zinakusave kwny kununua CD maana nyng hazikai kwa muda mrefu and so on na pia nadhan kwa kipnd cha nyuma wachache sana walikuwa hawana access ya digital games nakumbuka kuna kipnd kununuaa digital games ni mpaka utumie account za marekeni sijui utume hela huko mara ununue gift card za region husika so kutokana na hii hadha watu wakawa wana chip i.e, kuweka custom firmware ambayo inasupport downloadable games au fake games ambazo hazipo kwny sony account cracked games ila kwa sasa all resources are there unanunua game unalotaka unadownload au unahamisha kwa external ukipata access tu unacheza saaf kabisa ... Kuna kipnd games ni free na kuna kipind ni za discount unacheza bure afu bado kuna backward compartibility yaan game za ps4 ukinunua ps5 kama haukuzimaliza unaenda kuzichezea kwny ps5 yaaan bila kuchip game ina faida nyng sana
 
Inategemea na namna unavyo hack console, wengi hawana uelewa unapeleka kwa fundi anahack method yoyote ambayo ni rahisi kwake unatumia.

Njia zipo nyingi sana na baadhi ya njia unaweza pata benefit zote kama kucheza online na benefit nyengine za console isiyokuwa hacked.

Cha muhimu ni kufanya utafiti mwenyewe firmware gani unatakiwa uwe na benefits gani utapata, vitu gani utakosa etc.
 
Nataka kuchip ps4 sijui nakupataje?
 
Back
Top Bottom