monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Kimya wajuviWakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo
Naomba mnipe faida na hasara ya jailbreak faida ninayoifaham mimi ni jailbreak magemu unapata bei kitonga
Kuna technique ya ku jailbreak ps4 ?Wakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo.
Naomba mnipe faida na hasara ya jailbreak faida ninayoifaham mimi ni jailbreak magemu unapata bei kitonga.
Ndio angalia wololo, version chache mpya ndio huwezi ila nyingi unaweza.Kuna technique ya ku jailbreak ps4 ?
Hio ni software issue tu, hata ps4 ikiwa na jailbreak unaweza kurudi version ya kawaida uki flash official firmware, mimi binafsi ninge jailbreak unapata uhuru mkubwa hata kama huweki games za bure.Wakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo.
Naomba mnipe faida na hasara ya jailbreak faida ninayoifaham mimi ni jailbreak magemu unapata bei kitonga.
okayNdio angalia wololo, version chache mpya ndio huwezi ila nyingi unaweza.
mkuu naomba link ya retailers wa gamepass xboxNdio angalia wololo, version chache mpya ndio huwezi ila nyingi unaweza.
Mkuu nilitumia kinguin ila sasa hivi hawana tena ya chini ya Euro 2 ila zipo bei ya juu.mkuu naomba link ya retailers wa gamepass xbox
ngoja niichkMkuu nilitumia kinguin ila sasa hivi hawana tena ya chini ya Euro 2 ila zipo bei ya juu.
Mm ninavyojua Uki jail break unaua Function ya Online streaming na Online Gaming, Maana Ps4 unaweza hata Ku switch ukaangalia Netflix na Other online Stuff. Unaweka Unofficial firmware ambayo imekua twerked kidogo ili kuiba Data Kwa Urahisi.Wakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo.
Naomba mnipe faida na hasara ya jailbreak faida ninayoifaham mimi ni jailbreak magemu unapata bei kitonga.
Inategemea na namna unavyo hack console, wengi hawana uelewa unapeleka kwa fundi anahack method yoyote ambayo ni rahisi kwake unatumia.Kipnd mm mdogo na sijui vzur games niliaminishwa na watu kwamba chipped console ndo za kutumia... Ni kwel zinakusave kwny kununua CD maana nyng hazikai kwa muda mrefu and so on na pia nadhan kwa kipnd cha nyuma wachache sana walikuwa hawana access ya digital games nakumbuka kuna kipnd kununuaa digital games ni mpaka utumie account za marekeni sijui utume hela huko mara ununue gift card za region husika so kutokana na hii hadha watu wakawa wana chip i.e, kuweka custom firmware ambayo inasupport downloadable games au fake games ambazo hazipo kwny sony account cracked games ila kwa sasa all resources are there unanunua game unalotaka unadownload au unahamisha kwa external ukipata access tu unacheza saaf kabisa ... Kuna kipnd games ni free na kuna kipind ni za discount unacheza bure afu bado kuna backward compartibility yaan game za ps4 ukinunua ps5 kama haukuzimaliza unaenda kuzichezea kwny ps5 yaaan bila kuchip game ina faida nyng sana
Nataka kuchip ps4 sijui nakupataje?Inategemea na namna unavyo hack console, wengi hawana uelewa unapeleka kwa fundi anahack method yoyote ambayo ni rahisi kwake unatumia.
Njia zipo nyingi sana na baadhi ya njia unaweza pata benefit zote kama kucheza online na benefit nyengine za console isiyokuwa hacked.
Cha muhimu ni kufanya utafiti mwenyewe firmware gani unatakiwa uwe na benefits gani utapata, vitu gani utakosa etc.
Ina run firmware gani?Nataka kuchip ps4 sijui nakupataje?
Ziko ps4 mbiliIna run firmware gani?
Niliambiwa haitwezekana kujailbreak labda ingekuwa 9.00 au belowZiko ps4 mbili
Moja iko version 9.03
Na nyingne 9.04
Huwezi ndio mkuu. Cha muhimu usi update subiria firmware nyengine ikiwa na Vuknerabilities manual update kwenda hio firmware then jailbreak.Niliambiwa haitwezekana kujailbreak labda ingekuwa 9.00 au below