Kipi ni bora zaidi

Kipi ni bora zaidi

ney kush

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2012
Posts
1,407
Reaction score
916
Wana JF habari zenu naomba mnisaidie nimemaliza form 4 nimefaulu masomo ya Géography,mathematics sasa nataka kuamua kwenda IT pale IFM au nikasome advance tu kwasababu EGM IMEKUBALI NISAIDIENI KWA USHAURI.
 
Nenda advance tu mkuu ili ukimalza uwe na uwanja mpana wa kuchagua nin cha kusoma.
 
umefaulu masomo mawili tuu? na huko IFM unaenda kusoma Certificate, diploma au bachelor??? nadhani ujajieleza vyema.. BTW, mimi nakushauri uendelee Advance then ukishamaliza kichwa kitakua kimefunguka zaid..
 
Back
Top Bottom