Kipi ni bora?

tpellah

Member
Joined
May 19, 2011
Posts
49
Reaction score
2
mwanamke kuvaa condom wakati wa kujaamiina au mwanaume kuvaa condom wakti wa kujamiina,mana zipo za aina mbili.
 
bora kuwa na mmoja mwaminifu au ku-abstain.
 
Ya nini kujisumbua, si mjiolee tu mle fresh...afu mkioa msikimbilie tu kuoa, wengine wana angukia yale yasio shiba...Hayo hata mpigilie masaaa 24 yakipata tu chance yanagawa kwingine.
 
bora mwanamke avae maana akipata mimba ni rahisi kum blame yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…