Kipi ni chuo bora zaidi cha mafunzo ya IT Tanzania?

zungu2030

Member
Joined
Aug 28, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Habari zenu wana JF,

Naombeni msaada wenu mimi ni nina elimu ya Darasa la saba, na ninataka kwenda kusoma IT je hii inawezekana ?
 
hbr zenu wana Jf...jmn naombeni msaada wenu mm ni nina elimu ya std7,na ninataka kwenda kusoma IT inasound kwa mm std7??

Hope unajua english kama ni hivo na bado umri unaruhusu soma secondary kwanza kama hauwezi kabisa basi tafuta vyuo ambavyo havina usajili wa NACTE
 
kama unaweza soma kwanza Elimu ya secondari ila kama uwezi kama alivyosema mwenzangu tafuta vyo ambavyo havina usajili.
 
Upo wapi wewe kama uko mbeya nicheki 0759657353 nikupe maelezo ta kina kuhusu chuo utakacho pokelewa ila lazma utaanza kujifunza kiingereza kama ujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…