Imezoeleka watu wanapokuwa wanatafuta wenza/wapenzi kutoa sifa za wanaemtaka kama vile;awe sijui mweupe,sijui mrefu,sijui mweusi,awe na elimu fulani mara sijui nini utafikiri anatafuta mtu wa kufanya kazi fulan,yote katika yote sijaona mtu akisema"awe MWAMINIFU"kwani mi nafikiri hii ni sifa mama,hata hizo sifa nyingine zikikosekana ikiwepo hiyo maisha yanaenda,sijui nyie mnafikiri sifa ipi au ni zipi ni muhimu ambazo mtu anatakiwa aangalie anapotafuta someone special!!
lazma utakuwa kaka yangu MSUKUMA WEWE.yote, sijui mwaminifu, upendo aniheshimu ila kubwa zaid awe mweupe
Dada,colour has nothing to do with love!Utakumbuka wakati huyo mweupe atakapokuwa analala nje na utakapopigiwa simu na mahawara zake na kutukanwa,hiyo rangi sijui kama itakusaidia na sidhani kama hayo mahusiano/ndoa utaifurahia!yote, sijui mwaminifu, upendo aniheshimu ila kubwa zaid awe mweupe