Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Wajuvi wa lugha mnisaidie,kwakuzingatia mzizi wa neno,kitenzi na matamshi upi ni usahihi wa maneno au sentensi hizi:
Onyesha-onesha
Kaka wake-kakaake
Hajala-hajakula
Hajaja-hajakuja
NB: Nimesahau maneno mengine tafadhali unaweza kuongeza maneno mengine[emoji120]
Onyesha-onesha
Kaka wake-kakaake
Hajala-hajakula
Hajaja-hajakuja
NB: Nimesahau maneno mengine tafadhali unaweza kuongeza maneno mengine[emoji120]