Kipi ni kizazi bora kati ya 1980’S- 1990’S?

Kipi ni kizazi bora kati ya 1980’S- 1990’S?

80's ni age za mpito, namaanisha wameishi maisha ya kizamani/ ukoloni mfano, tunazijua redio casset, tumekula local foods sana, tumefundishwa na walimu wa Upe n.k at the same maisha ya kidigital tumeanza nayo mfano ujio wa simu ya kwanza phillips mkonga.!
Hawa wa 90s ni vijana wa utandawazi hawayajui maisha halisi ya muafirika.
 
1990s we are the G.O.AT

Hiki ndo kizazi chenye utu
Wanaishi kwa kupendana Sana .
Mfano mimi
1980s ndo Akina Makonda, Sabaya nk
Haahaa,
Sisi wa 1800 tuka comment wap.....

All in all,

1990's NDIO kizazi kipo kwenye pick taking over.....
😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
 
80's ni age za mpito, namaanisha wameishi maisha ya kizamani/ ukoloni mfano, tunazijua redio casset, tumekula local foods sana, tumefundishwa na walimu wa Upe n.k at the same maisha ya kidigital tumeanza nayo mfano ujio wa simu ya kwanza phillips mkonga.!
Hawa wa 90s ni vijana wa utandawazi hawayajui maisha halisi ya muafirika.
Sio kwel nakumbuka barabara zilikua mbaya sana hata 90's kiasi kwamba....INABIDI KUSHUKA KWENYE BASI LIPITE PEKEAKE NDIO MPANDE TENA KUENDELEA NA SAFARI....😊

Kipindi icho simu ni Landline haahaa tena ipo Kwa vibopa...😂

Usafir mkuu ni Train 🚆🚂 mnapika vyakula kabisa 🤓 wengine walisafir na majiko ya mkaa kabisa chezea safari ya Dar es salaam to Mwanza..........
Dar es salaam to Kigoma..........

Enzi izo shule za msingi wanasoma wababa 😊 na Wamama....Enzi izo watu wana reseat...haikua lelemama watu wanaenda peku peku...na tumelipa ada primary school 😊😊😊
 
Sio kwel nakumbuka barabara zilikua mbaya sana hata 90's kiasi kwamba....INABIDI KUSHUKA KWENYE BASI LIPITE PEKEAKE NDIO MPANDE TENA KUENDELEA NA SAFARI....[emoji4]

Kipindi icho simu ni Landline haahaa tena ipo Kwa vibopa...[emoji23]

Usafir mkuu ni Train [emoji581][emoji577] mnapika vyakula kabisa [emoji851] wengine walisafir na majiko ya mkaa kabisa chezea safari ya Dar es salaam to Mwanza..........
Dar es salaam to Kigoma..........

Enzi izo shule za msingi wanasoma wababa [emoji4] na Wamama....Enzi izo watu wana reseat...haikua lelemama watu wanaenda peku peku...na tumelipa ada primary school [emoji4][emoji4][emoji4]
Sasa kweli wewe wa kizazi kipya, sisi wa 80s mwanzo nakumbuka usafiri ilikua punda baadae ndo bus chai maharage, yaani dereva anajitenga na abiria.
Japo inaonesha nyie wa eary 90s at least mmeshuhudia u kale kidogo.
 
Back
Top Bottom