Kipi ni muhimu, kuwa na watoto au kuolewa?

Kipi ni muhimu, kuwa na watoto au kuolewa?

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Fikiria kwa kina kipi muhimu zaidi (Chagua moja - zingatia neno zaidi)

1. Kuoa / kuolewa
2. Kuwa na watoto

Kwa kuwa nahitaji kwenda lunch naamini nitakuta majibu kwa wale 10 watakaowahi kusoma.

Then tutajadili kwa pamoja.
 
hakuna kilichozid mwenzie kwa upande wangu
 
hakuna kilichozid mwenzie kwa upande wangu
Naanza na wewe kwenye mahojiano ..
1. Umeoa / umeolewa hujapata mtoto inakuwaje ..
2. ... jibu hilo kwanza ..
 
Naanza na wewe kwenye mahojiano ..
1. Umeoa / umeolewa hujapata mtoto inakuwaje ..
2. ... jibu hilo kwanza ..
Kwangu mim definition ya kuoa sio kupata mtoto kwa maana kama mtoto anaweza kupatikana bila ndoa au unaweza ukampata nje ya ndoa
 
Kwangu mim definition ya kuoa sio kupata mtoto kwa maana kama mtoto anaweza kupatikana bila ndoa au unaweza ukampata nje ya ndoa
Hapo uko sawa kabisa .. sio kila mwenye mtoto ameolewa / ameoa na sio kila aliyeoa / kuolewa ana mtoto ...
Kipi muhimu zaidi kwako?
 
Back
Top Bottom