Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wakuu nilivutiwa na idea ya kufanya Vinyl Wrap business about 3 years ago ila sikuendelea na hii plan kutokana na mambo kadhaa yaliokuwa nje ya uwezo wangu.
So far nataka kufanya comparison kati ya Vinyl Wraps na Paint job kipi kitakuwa na gharama nafuu zaidi?
Kwa wale mliopiga rangi za gari hivi karibuni, je wastani wa kupiga metallic finish paintjob kwa gari zetu hizi daily commuters kama spacio, harrier, rav 4, IST, RunX n.k je zina kadiriwa kuwa sh.ngapi kwa kazi safi ilionyooka?