Kuna garage moja wanafanya hizo kazi hapo arusha,kupaka rangi,kubadilisha bodi za magari pamoja na kufanya service zote za magari n.k niliwaona kwenye mtandao, wako vizuri...kama utapata nafasi ukawatembelea unaweza kupata abcWakuu nilivutiwa na idea ya kufanya Vinyl Wrap business about 3 years ago ila sikuendelea na hii plan kutokana na mambo kadhaa yaliokuwa nje ya uwezo wangu.
So far nataka kufanya comparison kati ya Vinyl Wraps na Paint job kipi kitakuwa na gharama nafuu zaidi?
Kwa wale mliopiga rangi za gari hivi karibuni, je wastani wa kupiga metallic finish paintjob kwa gari zetu hizi daily commuters kama spacio, harrier, rav 4, IST, RunX n.k je zina kadiriwa kuwa sh.ngapi kwa kazi safi ilionyooka?
Mimi nauza Tangawizi, pilipili manga, na iliki. Bei ya jumla.Nasubir ipi Ni nafuu. Nikaifanyie kazi 109 ya urithi. Maana Kuna boya Ilala anasema 1.5m kupiga Rangi kwa siku 5. Na sitaki kumuachia gari siku zote hizo
Safi. Piga kaziMimi nauza Tangawizi, pilipili manga, na iliki. Bei ya jumla.