Kipi ni sababu ya kupatikana kingine?

Kipi ni sababu ya kupatikana kingine?

Joined
Oct 18, 2022
Posts
12
Reaction score
5
Ewe msomaj wa JF naomba uniambie kati ya furaha na pesa kipi ni sababu ya kupatikana kwa mwenzake?

Kwa maana je, furaha ni sababu ya kupata pesa au pesa ni sababu ya kupata furaha?

Naomba maoni na hoja zako.
 
Pesa na furaha Ni vitu viwili tofauti ambavyo havina uhusiano wa Moja kwa Moja.

Zipo njia nyingi Sana ambazo mtu anaweza kuzitumia kujipatia furaha bila ya kuwa na pesa.

Muda mwingine watu hutumia pesa ili kupata kitu kinachompa furaha.Kwa mfano Kama mtu anapenda pombe na ndio inayompa furaha, Basi itabidi atafute pesa ambazo atazitumia kununua pombe ambayo itampa furaha.So in this case pesa haijatumika kumpatia mhusika furaha Bali pombe ambayo ameinunua kwa pesa.
 
Utafuteni kwanza ufalme wa mbinguni ndipo mengine mtazidishiwa
 
Pesa na furaha ni mapacha. Achilia mbali matatizo ambayo ni naturally kama magonjwa ambayo humpata kila mtu. Huwezi kuwa kapuku ukawa na furaha labda kama unamatatizo ya akili
 
Back
Top Bottom