Pesa na furaha Ni vitu viwili tofauti ambavyo havina uhusiano wa Moja kwa Moja.
Zipo njia nyingi Sana ambazo mtu anaweza kuzitumia kujipatia furaha bila ya kuwa na pesa.
Muda mwingine watu hutumia pesa ili kupata kitu kinachompa furaha.Kwa mfano Kama mtu anapenda pombe na ndio inayompa furaha, Basi itabidi atafute pesa ambazo atazitumia kununua pombe ambayo itampa furaha.So in this case pesa haijatumika kumpatia mhusika furaha Bali pombe ambayo ameinunua kwa pesa.