Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Kipi kinafaa kuanza kati ya plasta au kuweka frame za Milango kwanza? Lengo ni kupata frame ambayo itajaa kwenye kuta vizuri.
Naogopa nikianza kuweka frame ataweka ukubwa Sawa na kuta za Milango hivyo wakipiga plasta haitokua imejaa! Wakipiga plasta then Uje uweke Milango haitokua imeshika vizuri!
Kipi kinafaa kuanza ili kupata wastani mzuri?