Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Nunua frem uweke wakati plasta ikiendelea. Au laah piga plaster then baaadae uweke frame. Huwa zinashikizwa vizuri tuKipi kinafaa kuanza kati ya plasta au kuweka frame za Milango kwanza? Lengo ni kupata frame ambayo itajaa kwenye kuta vizuri.
Naogopa nikianza kuweka frame ataweka ukubwa Sawa na kuta za Milango hivyo wakipiga plasta haitokua imejaa! Wakipiga plasta then Uje uweke Milango haitokua imeshika vizuri!
Kipi kinafaa kuanza ili kupata wastani mzuri?
๐๐พ๐๐พNunua frem uweke wakati plasta ikiendelea. Au laah piga plaster then baaadae uweke frame. Huwa zinashikizwa vizuri tu
Pia ukianza kuweka frem nayo inawezekana maana fundi atafitisha na kuacha nafasi inayotakiwa kwa plaster
Nimezoea kuona mafundi wakianza na frame kisha plasta.Kipi kinafaa kuanza kati ya plasta au kuweka frame za Milango kwanza? Lengo ni kupata frame ambayo itajaa kwenye kuta vizuri.
Naogopa nikianza kuweka frame ataweka ukubwa Sawa na kuta za Milango hivyo wakipiga plasta haitokua imejaa! Wakipiga plasta then Uje uweke Milango haitokua imeshika vizuri!
Kipi kinafaa kuanza ili kupata wastani mzuri?
Kwani fundi wako hajawahi kujenga kwingine?Kipi kinafaa kuanza kati ya plasta au kuweka frame za Milango kwanza? Lengo ni kupata frame ambayo itajaa kwenye kuta vizuri.