Nmetaman nkushauri uachane na hizi za ualimu lkn basi ntakula banNaombeni ushauri wa fursa za kielimu kulingana na maendeleo ya elimu ya sasa kipi nisomee shahada kati ya degree hizo tatu hapo juu?
1. Bachelor of education in adult education and community development (Bed ADEC)
2. Bachelor of education in administration and management (Bed ADM)
3. Bachelor degree in policy, planning and management (Bed PPM).
Ushauri tu wadau hasa waliosoma hiz kozi, ngependa pia kozi itakayokuwa rahisi zaidi
Hofu yake ilikuwa kwenye ugumu wa ajira Jambo ambalo kwa wale walioenda education kufata ajira na Mambo yameenda ndivyo sivyo imekua Kama wamepoteza mda tukwanini niachane na koz za ualim ikiwa mm tayr n mwalimu?
Umeajiriwa serikalini? Kama umeajiriwa, Fanya kozi tofauti mfano health management, accountancy, Business administration, procurement, physical education. Hizo kozi zitafanya uhamishwe idara ila bachelor ya ualim haikuongezei hata mshahara. Fanya kozi tofauti ila bachelor ya ualim Bora hiyo ada upeleke Kwa biasharakwanini niachane na koz za ualim ikiwa mm tayr n mwalimu?
Soma BED ADM Ina nafac kubwaNaombeni ushauri wa fursa za kielimu kulingana na maendeleo ya elimu ya sasa kipi nisomee shahada kati ya degree hizo tatu hapo juu?