chavka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 223
- 46
Natumai Mko poa wanajamii. Ila nina leta changamoto moja ivi anaeweza kuelezea umeme na anaeweza kufanya kazi za umeme au mashine yoyote na kuzielezea, yupi anastahiki malipo makubwa?
Nauliza haya kulingana na mifumo ya vyuo vyetu ukimchukua mtu wa Univar's, Institu, Vocation. Wanauwezo tofauti?
Nauliza haya kulingana na mifumo ya vyuo vyetu ukimchukua mtu wa Univar's, Institu, Vocation. Wanauwezo tofauti?