Kipi sahihi katika uwanja wa ajira na ukuwaji wa uchumi

chavka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Posts
223
Reaction score
46
Natumai Mko poa wanajamii. Ila nina leta changamoto moja ivi anaeweza kuelezea umeme na anaeweza kufanya kazi za umeme au mashine yoyote na kuzielezea, yupi anastahiki malipo makubwa?

Nauliza haya kulingana na mifumo ya vyuo vyetu ukimchukua mtu wa Univar's, Institu, Vocation. Wanauwezo tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…