Kipi ulifanya na haujutii hadi leo?

Kipi ulifanya na haujutii hadi leo?

sijutii kusoma nyuzi za Kiduku lilo🤣🤣 jamaa kanifanya niwe serious na maisha.🤣🤣
 
Deki niliyompiga binti wa kilokole,utwoko mwingi huku mlango mteule wa kuijia duniani,nikamgeuza na lile shimo la taka,nikapiga deki,si unajua vijana wa darisalama tulivyo wa hovyo...binti kwa Raha akaniharishia usoni

[emoji28][emoji28]aloo
 
Ambacho sijutii nilipomaliza chuo nilikuwa nimesave kama mil 5 basi yote nikagawa kwa wazazi kwa vile biashara sikuwa na mpango nazo ...Nikabaki na laki 5 mpaka nimebaki laki moja nikaitumia iyo kama gharama kuja fanya interview ya kwanza pale utumishi na hyo ndo nikapita kupata ajira moja kwa moja ile pesa yote nikiyowapa wazazi nilipata kwa mshahara wa kwanza maana nilipewa subsistence allowance na mazaga kibao ya kuanzia kazi ikarudi yote..
 
Hongera
 
Back
Top Bottom