Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Wewe auSijutii kumiliki hilo ndinga la mil 200
Daaah...umenikumbusha kitambo kidogo,niliiba gunia zima nikatizame mazishi ya nyerere .Kuiba mahindi nakuuza kwenye litambili nipate hela nikaangalie video msimu wa mavuno
Wewe kweli mzalendo.Daaah...umenikumbusha kitambo kidogo,niliiba gunia zima nikatizame mazishi ya nyerere .
Deki niliyompiga binti wa kilokole,utwoko mwingi huku mlango mteule wa kuijia duniani,nikamgeuza na lile shimo la taka,nikapiga deki,si unajua vijana wa darisalama tulivyo wa hovyo...binti kwa Raha akaniharishia usoni
Kula hela ya ada..Mmmh!! Nalo ujutii kwann ujutii hiyo
Ni sahihi kutojuta kwani hukuitafuta weweKula hela ya ada..
Sijutii Kuacha kujiunga na Advance kusoma HGK, Nikajiunga Chuo ngazi ya Certificate na Diploma kusoma Business AdministrationHabari.
Kitu gani haujutii kwenye maisha yako?
-Sijuti Kuacha kazi ya laki 4 na kwenda mkoani kulima.
HongeraAmbacho sijutii nilipomaliza chuo nilikuwa nimesave kama mil 5 basi yote nikagawa kwa wazazi kwa vile biashara sikuwa na mpango nazo ...Nikabaki na laki 5 mpaka nimebaki laki moja nikaitumia iyo kama gharama kuja fanya interview ya kwanza pale utumishi na hyo ndo nikapita kupata ajira moja kwa moja ile pesa yote nikiyowapa wazazi nilipata kwa mshahara wa kwanza maana nilipewa subsistence allowance na mazaga kibao ya kuanzia kazi ikarudi yote..
Sijutii Kuacha kujiunga na Advance kusoma HGK, Nikajiunga Chuo ngazi ya Certificate na Diploma kusoma Business Administration
Niko diploma 2 huu mwakaHalaf
Una maana umehitimu Diploma cioMimi ni full
Ko unajutia kusoma Diploma amaMimi ni full MAJUTO NI MJUKUU