C canfi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2022 Posts 1,368 Reaction score 1,477 Sep 15, 2022 #1 Kwa kujibu wa Othman Kazi, ilipaswa kuwa offside kabla mpira haujafika kwenye tukio linalobishaniwa la mpira kutoka/kutotoka. Aidha, tukio la Moses Phiri kuangushwa na kipa wa Prisons lilipaswa kuhukumiwa penati View attachment 2358209
Kwa kujibu wa Othman Kazi, ilipaswa kuwa offside kabla mpira haujafika kwenye tukio linalobishaniwa la mpira kutoka/kutotoka. Aidha, tukio la Moses Phiri kuangushwa na kipa wa Prisons lilipaswa kuhukumiwa penati View attachment 2358209
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Sep 15, 2022 #2 Bongo hatuna marefa, hatuna wachambuzi wa mpira, labda wakachambue mchele. Mpira wetu bado ujanja ujanja mwingi. Ndio KUFA KWA WAGANGA tena, WAGONJWA WATAPUNGWA NA WALEVI.
Bongo hatuna marefa, hatuna wachambuzi wa mpira, labda wakachambue mchele. Mpira wetu bado ujanja ujanja mwingi. Ndio KUFA KWA WAGANGA tena, WAGONJWA WATAPUNGWA NA WALEVI.
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Sep 15, 2022 #3 Point 3 muhimu kibindoni