Huyu jamaa amesingiziwa.haiwezekani mtu atumie jina lake halisi na namba alizosajili kumpigia mtu then amteke.huu ni uzushi mtupu
Confirmed! Kikwe ana husika...na jumba lake la magogoni. Siku moja tukiwa katika mkutano wa ndani wa Chama (Sio wa Hadhara) Mh. Mbowe, alisema kuna watu wakati wa kufa hurusha miguu sana na usipokuwa makini uliye pembeni utapigwa mateke,alikuwa akitoa Angalizo kuhusu chama cha Majambazi kuwa kinapoelekea kufa KINAKUFA NA WENGI, kila mtu awe makini, wakati tunakifunika sanda NYEKUNDU,mtu akae upande wa kichwani, ukikaa miguuni tu, umekula teke.
BURIANI CCM :A S cry:
Kumbe tiGO imewafukuza wafanyakazi wake???, CMA iko wazi inawasubiri hao wafanyakazi ndani ya muda walete malalamiko yao suluhu itapatikana.tiGO imefukuza karibu wafanyakazi wake 30 kutokana na kile kuwa wamefanikisha Kubenea au MwanaHalisi kupata mlolongo wa mawasiliano ya simu kati ya yule mfanyakazi wa ikulu, Ramadhani, na Dr. Ulimboka. Je, hii ni sababu au ushahidi tosha ya kuthibitisha kuwa serikali inahusika na mkasa wa Dr. Ulimboka?
Source: TanzaniaDaima 8/8/2012, toleo namba 2805, Wednesday
Japo wamefukuzwa wametusaidia kidogo kuujua ukweli.
Hii kampuni nishasepa kitambo, wababaishaji kama serikali ya TZ.