Kipigo cha Dk. Ulimboka chazua balaa tiGO

kama hali ndo hii kweli tumeisha!!!! sijui nihame kabisa hili limtandao!!!
 
Kimbembe kwa tigo ni mwanzo tu, adabu itaendelea kutolewa kwa wale wote wenye tabia za umbeambea. Chezea ingine si magogoni
 
Shezi kumbe ndio zao hizo.
 
Lakini hata hivyo, mchungaji wa kanisa hilo, Josephat Gwajima alikana kauli ya Kova juu ya mtuhumiwa huyo, akisema hajakwenda kutubu kwao.
Mzee wa mkono wa baunsa alimkataa Kova😄

Kumbe hawa tigo wahuni kitambo, ndo maana hata jina la kampuni yao linatumika kumaanisha tundu la huzuni, tundu pendwa la P.Diddy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…