King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
- Thread starter
-
- #141
Mzee wa mkono wa baunsa alimkataa Kova😄
Kumbe hawa tigo wahuni kitambo, ndo maana hata jina la kampuni yao linatumika kumaanisha tundu la huzuni, tundu pendwa la P.Diddy
Ila huyu nabii feki Gwajima alikula mtoto mzuri sana, mweupeeeeeee kwa sisi wasukuma nahonga boma zimaEnzi hizo wakati "Mkono wa baunsa" hajaingia kwenye siasa.
Wakahamia kwa tunduTigo hawana akili.
JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Unamaanisha nini?tiGO ndiyo mtandao sasa
Thibitisha.Kama yapi alisingiziwa? Navyojua mimi kila serikali kuanzia ya ukoloni,nyerere hadi Mama kizimkazi matukio ya utekaji/uuuaji/upotezaji yalikuwepo na hayatokuja kuisha bali yanapungua na tulitegemea kwenye "fohara" yasingekuwepo kabisa maana kungekuwa na ustahimilivu.
1.Kuuawa kwa Ben Saanane - Jiwe hakusingiziwa
2.Assassination attempt ya Lissu - Jiwe Hakusingiziwa
3.Genge la uhalifu la BASHITE aliloiunda na kupata baraka zake - JIWE hakusingiziwa
4.Kupora fedha za wafanyabiashara waliogoma kutoa pesa za maendeleo na kusingiziwa uhujumu uchumi - Jiwe hakusingiziwa
5.Kupora fedha za maduka ya kubadilishia fedha - JIWE hakusingiziwa
Thibitisha.
Kumbe jamaa alikuwa msaliti, bc n jambo jema kupewa dozi mana ht hizo nchi nyngn wanafanya hvy hvy"Kuna mpiga kelele mmoja tulikuwa tunatrepu simu yake ,tukaona kwamba anaongea na Mwanyika leta document hii mara leta document ile ,that's government ,vita ya uchumi ni ngumu sana maana adui haumuoni ,hauwezi kuwa msaliti ukaendelea kusurvive" - JPM 07 Sept 2017 Ikulu.
Michael Clifford wa Milcom aliweka wazi London.
Kumbe jamaa alikuwa msaliti, bc n jambo jema kupewa dozi mana ht hizo nchi nyngn wanafanya hvy hvy