OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kipigo hiki kinakukumbusha nini mwanaJF?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema tena Okwi muhengaha ha
Unahisi ni historia gani inaumiza kati ya hzo mbili ???THIS IS SIMBAAA[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji23] [emoji23] [emoji23]INANIKUMBUSHA IDADI YA MISIMU 5 AMBAYO SIMBA SC IMESHIRIKI vpl BILA KUTWAA NDOO YA LIGI KUU TANZANIA BARA.
Shida yetu sio ndoo, tukitaka ndoo zipo kariakoo shimoni, raha yetu ni kujojo kama hivi. Inauma lakini mtafanyaje ndala [emoji169]INANIKUMBUSHA IDADI YA MISIMU 5 AMBAYO SIMBA SC IMESHIRIKI vpl BILA KUTWAA NDOO YA LIGI KUU TANZANIA BARA.
Inanikumbusha msimu wa ligi Mwaka 2011 - 2012. Yanga ilipigwa goli 5 bila na SimbaINANIKUMBUSHA IDADI YA MISIMU 5 AMBAYO SIMBA SC IMESHIRIKI vpl BILA KUTWAA NDOO YA LIGI KUU TANZANIA BARA.