Kipigo heavy

Sijawahi kupigwa wala kupiga
Napenda kuishi maisha ya Amani na Upendo

Kumbe jf kuna watoto
 
Nakumbuka mwaka 2003nikiwa shule ya Msingi nilichezea kichapo cha pande mbili kwa kosa la kusingiziwa kubaka katoto kamoja kakike hivi.
"
"Ilikuwa tunatoroka shule na wasela kama 4 hivi. Njiani wakati tunarudi kawaida yetu ilikuwa tunapita kwenye shamba la miwa la magereza lililokuwa karibu na shule tunaiba tunatoka tunatafuna njiani.
sa siku hiyo tukawa tumeongozana na haka katoto kufika maeneo ya mapori mapori
majamaa yakawa yanataka kula mzigo. wakakavuta vuta hapa na pale wakakichania unform zake ila hawakufanikiwa kulamba lolo.
kufika mtaani kanalia sana afu mama yake ni mbogo kinoma kakasema tulitaka kumvua pichu akaambiwa ataje wahuni akanijumlisha na mimi .

Jioni nimetoka kucheza mpira mother akaniteka.
nimsindikize kwa mama fulani nikamsalimie weweee !!! kufika baada ya story mbili tatu nikashangaa kale ka bi mdashi kananikwida na kichapo heavy' badae mother akaniungia tena hapo hapo nililainika vizuri kesho yake sikuweza kwenda shule . Mpaka leo nimemsamehe mama yangu tu yule mama na mtoto wake nimewaweka hivi kushoto.


"Quora"
 
Walikuwa fanta nini hahahaha
 
Mi bna nnachokikumbuka kuna mwalim mmoja hivi anaitwa Mwali oscar ni mzawa wa wilaya flani mkoani kagera, aliwahi kunionea bila ya sababu na kipindi hicho tukiwa form four tukijiandaa kuingia necta, dah nikwamba alikua akiulizia watu wapi makwao, mkoa gani, wilaya etc... Alipofika kwangu sikuwa nime mark chochote maana Mda huo nilikua nameza madesa ya physical geography dah!! Alinipiga sana akanidharirisha sana mbele ya darasa bila ya sababu yenye mashiko,, kiukweli tangu nizaliwe hata sijawahi kupata kipondo kama kile, hadi darasa walinihurumia mda huo alidai eti nna kiburi,, yaan mwalim mwenye degree yake aliye soma psychology za watoto kuanzia mimba mpaka mtu mzima anashindwa ku handle vitu vidogo kama vile, dah!! Mwalim alinitia bakora mpaka jioni nkanywa dawa za kutuliza maumivu, aisee sintokusahau we jamaa na wakati mda huo ulikua umekuja kutembeatu pale shuleni ukitokea shule jirani,, yaan kihereheretu sio kizuri katika maisha. Ila ipo siku

Mwalimu Oscar sintokaa nikusamehe hata iwe vipi, ilatu kwa sababu za kibinadam achatu niliamua kukufuta kichwani mwangu, mungu atanilipia.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah! Nakumbuka Kuna siku moja mitaa ya uhindini mjini Dom hio daah! Nko na mwanangu mmoja sangu now marehemu tumeambatana na dogo mmoja hv anaitwa nata, tukaenda nyumba ya dingi moja hv liliwahi kua kuu la wilaya huko iringa lilikua refu afu KUBWA liko so powerful, lengo letu lilikua kuiba mapera maana yule dingi alikua anakaa peke yake Hana familia nyumba yake ilikua karibu na tbc Kanda ya Kati pale uhindini, mapera mekundu kinyaaama! Nyumba Ina fence ya michongoma! Ce tukazunguka pembeni ya nyumba yake kulikua na pagale, tukaanza tungua mapera, Sasa Mimi tamaa zangu zikaniponza, baada nichume mapera ya karibu c nikafata Yale ya mbali, nikawa nimeingia ndani ya nyumba ya yule mzee ingawa Niko juu ya mti, yule mzee akasikia kukurakakara zile akafurumuka ndani, mwenzangu mmoja akajificha pagaleni mwingine fasta akakimbia mie ile natua tuu dingi hili hapaaa! Limebeba mbao ngumu mkononi! Nikadesh nilipige chenga nkafanikiwa Sasa ile naruka mtaro likarusha mguu nikaenda chini!!!! Daaaah! Aisee Lile dingi lilinipiga Kama linaua nyoka!!! Lilinitandikaa mamaeeee!nilivimbaa mikono, miguu! Nikafanikiwa kuinuka ila nshaivisha vibaya nachechemeaa! Eti hasira za kitoto nlivofika mbele acha nianze kumporomoshea matusiii!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…